Uongozi wa Chuo Kikuu cha
Mtakatifu John wenye makao makuu mjini Dodoma umetoa taarifa kupitia website
yake juu ya utekelezaji wa sheria ya mavazi itakayoanza kufanya kazi rasmi tarehe
1 Oktoba, 2012. Waraka huo ulioandikwa na Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma na Fedha
(DVCPFA) unawataka wafanyakazi na wanafunzii wote wa Chuo hicho kufuata
muongozo mpya juu ya kanuni za mavazi wanayotakiwa kuvaa pindi wawapo katika
majukumu yao chuoni hapo.
“Chuo kimeweka Kanuni za mavazi kwa ajili ya watu wote wafanyakazi
na wanafunzi. Ninaandika barua hii kuamrisha watu wote kwa usawa kabisa
kutekeleza agizo la kuvaa mavazi yanayoendana na maadali ambayo itaanza rasmi
tarehe 1 Oktoba, 2012. Nina matumaini, kutokana na kuwa wazi kwa muongozo wa
chuo juu ya maadali na madhumuni ya chuo. Kila mwanajumuiya wa SJUT tunategemea
ushirikiano wake katika tekelazaji wa agizo hili kwa maadili ya kiroho”, ilisema
barua hiyo. Jengo la Utawala, Chuo Kikuu cha Mt. John, Dodoma. |
Hii imekuja kufuatia na kuporomoka kwa maadili kwa wanafunzi na hata wafanyakazi wa vyuo vikuu juu ya mavazi yanayovaliwa na baadhi yao wakati wa masomo. Mavazi hayo yamekuwa kero ka uongozi wa vyuo, walimu na hata baadhi ya wanafunzi pamoja na wanajamii wanao vizunguka vyuo hivi.
Soma waraka huo wa Chuo hapo Chini....
TO: The SJUT Community of:
(a) Members of staff,
(b) All students.
FROM: DVCPFA – Dodoma
DATE: 7
th September, 2012
CC: The Chancellor
: The Chairman of Council
: Members of the Council
: The Vice Chancellor
: The University Chaplain
: DVCA
: Faculty/School Deans, Associate Deans
: Dean of Students
: Directors
- QAB
- St. Marks’ Centre
- Msalato Centre
- Town Centre
- Postgraduate Studies
- Undergraduate studies
: Heads of Departments
: Chief Security Officer
: President of SOSJUT
: Vice Presidents of SOSJUT
RE: IMPLEMENTATION OF THE SJUT DRESS CODE
The University has put in place a SJUT Dress Code for both staff and students. I am
writing to commit you all to your unequivocal implementation of the code which goes
operational on 1st October, 2012. I am hopeful, with the clear preamble to the code as to
its purpose; every member of SJUT will diligently execute it with full support to both the
letter and the spirit of the code.
The SJUT Dress Code is on SJUT website.
May the Almighty God bless you
No comments:
Post a Comment